Katika jamii zetu mambo mengi ambayo watu huombea misaada utekelezaji wake huwa chini ya uwezo wao
Kwa Mfano:wote tunajua kua kutatua tatizo la malaria majumbani mwetu ni kuhakikisha kuwa mbu hawana mahala pakuzaliana.
Hivyo utekelezaji wake ni kuharibu mazingira yote hatarishi yanayo wezesha Mbu kutaga mayai , ni pamoja na kuhakikisha kuwa madimbwi ,makopo,vipande vya vyungu n.k vinafunikwa.
Pia mashimo ya maji machafu na vyoo yanawekwa mafuta ya taa ili kuua viluwiluwi.

Hivi kufyeka majani na kufukia mashimo ili mbu wasizaliane kunahitaji msaada wa wahisani.?
Kuhifadhi vyanzo vya Maji, vyakula na mazingira ili kuepukana na majanga.kujenga zahanati na madarasa ya shule kunahitaji wahisani.?
Katika jamii kuna mafundi , malighafi zipo, uongozi upo.Hatujishughulishi kufikiria jinsi ya kutumia uwezo na vyote tulivyo navyo kutatua matatizo yetu.
Ni mara ngapi tumekaa kitako tukajiuliza kama kazi tunazo ombea misaada ni kweli zinastahili misaada .?
Tumejiuliza ni kweli matatizo hayo yapo chini ya uwezo wetu ..?

Tatizo kubwa ni kuwa mara nyingi watu hatujishughulishi kutumia akili zetu katika kutatua matatizo yetu. kwavile hatufanyi mazoezi ya akili akili,akili zetu hulemaa,hudumaa au kufubaa kiasi kwamba akili hizo hazitoi mawazo yenye kuleta maendeleo yakiukombozi
Badala yake akili hubaki tegemezi na ndipo wahisani wanapo onekana wana maana zaidi yetu.

Comments
Post a Comment
+255769571079